Baada ya kukamilika kwa mradi wa mabasi
yaendayo kwa haraka, taarifa zilizopo ni kuwa kuanzia Ijumaa ya April 22
2016 mradi wa mabasi yaendayo kwa haraka ndio utaanza kufanya kazi
rasmi na ruti zake zimeorodheshwa hapo chini mtu wangu.
1.
RUTI YA KIMARA- KIVUKONI Mabasi Sita (6). Kati ya mabasi Hayo sita
wakati wa Kutoka Jangwani matatu yataenda Kimara na Matatu Kivukoni.
2. RUTI YA KIMARA – KARIAKOO Mabasi Sita (6). Kati ya hayo Matatu yataelekea Kariakoo na Matatu Kimara.
3. RUTI YA UBUNGO – KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi Manne yataelekea Ubungo na Manne Kivukoni.
4. RUTI YA UBUNGO – KARIAKOO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi manne Yataenda Ubungo na Manne yataenda Kariakoo.
RUTI YA UBUNGO – MOROCCO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Manne yataenda Ubungo Manne yataenda Morocco.
6. RUTI YA MOROCCO – KARIAKOO Mabasi sita (6). Kati ya hayo mabasi Matatu Morocco na Matatu Kariakoo.
7. RUTI YA MOROCCO – KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya Hayo Mabasi Manne yataenda Moroco na mabasi manne Kivukoni.
MUDA WA KUONDOKA KITUONI SAA KUMI NA MBILI KAMILI.
1. Kimara Terminal Mabasi Sita (6)
2. Ubungo Terminal Mabasi kumi na mbili (12)
3. Morocco Termial Mabasi kumi na moja (11)
4. Kariakoo Terminal Mabasi kumi (10)
5. Kivukoni Terminal Mabasi kumi na moja (11)
CHANZO: issamichuzi
0 comments:
Post a Comment