Watu wawili wamefariki dunia mkoani iringa akiwemo mkazi
mmoja wa kijiji cha HOLO, aliyejulikana kwa jina la HONOGELO NYATO kuuawa kwa
kupigwa na risasi za gololi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi
mkoa wa iringa PETER KAKAMBA amesema kuwa tukio hilo limetokea katika kijiji
hicho nakuongeza kuwa watu waliohusika na tukio hilo wanatafutwa.
Katika tukio la pili kamanda KAKAMBA amesema kuwa
mwanafunzi wa shule ya msingi nzihi amefariki dunia baada ya kugongwa na
pikipiki.
0 comments:
Post a Comment