Home »
» WAISLAMU WAMTAKA JPM KUZINGATIA UTAWALA BORA NA USAWA
WAISLAMU WAMTAKA JPM KUZINGATIA UTAWALA BORA NA USAWA
Posted by Unknown
Posted on 9:36 AM
with No comments
Kiongozi Mwandamizi wa dhehebu la Kiislamu la Shia Ithnashery nchini Tanzania Imamu Swadiq Sheikh Hemed Jalala ameitaka Serikali ya awamu ya tano kuzingatia utawala bora na kuweka usawa baina ya wananchi bila ya kuangalia tofauti zao ili kwa pamoja waeze kujiletea maendeleo.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment