Unamkumbuka staa Chris Hemsworth aliyewahi kujichukulia umaarufu kwenye movie kadhaa ikiwemo ya Thor: The Dark World, In the Heart of the Sea, The Avengers sasa time hii staa huyo kashiriki pia kwenye movie mpya iitwayo ‘The Huntsman : Winter’s War ambayo itaanza kuoneshwa rasmi leo April 22 2016 kwenye theater mbalimbali, tazama hii Trailer hapa.
Home »
» Ukiniuliza movie gani kali ya kutazama leo Cinema Dar es salaam….(+TRAILER)
Ukiniuliza movie gani kali ya kutazama leo Cinema Dar es salaam….(+TRAILER)
Posted by Unknown
Posted on 8:09 AM
with No comments
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment