April 16, 2016 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay alifanya
mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake wa kata ya Ruaha kwa kumchagua
kuwa mbunge lakini pia akatumia time yake kuwapa kipaza sauti wamweleze
shida zao.
Video ya walichoongea utaipata soon kwenye channel ya millardayo YouTUBE lakini kwa sasa unaweza kutazama hizi picha 16 kwenye hii post.
Kama ulimiss kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi basi mtazame hapa alikuwa jimboni kwake Mikumi baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge
0 comments:
Post a Comment