Hii ni kwa watu wangu wanaofanya biashara zao katikati ya mji iwe ni pembeni ya barabara au mbele ya maduka 88.1 Mwanza, machinga endelea kuomba mipango ikamilike mtu wangu…nikutoka kwa Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire ana sentensi zake anataka zikufikie; – James Bwire
‘Lazima tutafakari kwa kina ni kwa namna gani hawa wananchi tunaweza kuwasaidia ili waweze kuendesha maisha yao kama kawida kwa sababu wamezoea kuendesha maisha kwa namna hiyo;- James Bwire Meya
‘Lakini bado tunataka tuzungumze kama tunaweza kupanga hata masaa kwamba ikifika hata jioni tunaweza kufunga baadhi ya barabara mbili hata tatu kwa makubaliano ili machinga wafanye biasahara zao mida ya jioni tutawawekea na taa kabisa ila asubuhi yake kabla ya kuondoka wanafanya usafi wanakwenda kupumzika wanakuja jioni yake; – Meya wa Jiji la Mwanza
0 comments:
Post a Comment