Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo
Naibu
Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi
wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa
uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya Halmashauri ya Wilaya.
Nafasi yake atakaimu Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi utakapo kamilika.
0 comments:
Post a Comment