ANGALIA PICHA ZA SHANGILIENI KWAYA WAKIWA AFRIKA YA KUSINI KIHUDUMA
Wakati huohuo taarifa ambazo GK imezipata ni kwamba kwaya hii inatarajiwa kuwepo usharika wa Kijitonyama Lutheran jijini Dar es salaam siku ya tarehe 8 mwezi ujao katika kuwasindikiza kwaya ya uinjilisti Kijitonyama ambayo itakuwa ikisherehekea miaka 25 ya kwaya yao tangu ilipoanzishwa.
Taarifa kamili na picha nyingine zitawajia kupitia hapa hapa GK. Kwa leo pata japo kwa kifupi
Mawinguni mwe! |
Muonekano wa jiji la Johannesburg kutokea juu karibu na uwanja wa ndege wa OR Tambo. |
Mwenyekiti wa Tumaini Dkt. Emanuel Mtangoo na wanakwaya wengine wakizungumza na mwenyeji wao mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa OR Tambo. |
Safari ya kuelekea kanisani. |
Usharikani Tembisa. |
Waimbaji wa Tumaini wakiwa kanisani siku ya jumapili. |
0 comments:
Post a Comment