AFLEWO YAKUTANISHA WACHUNGAJI KUELEKEA TAMASHA LA 2014
Wachungaji katika picha ya pamoja baada ya majadiliano |
Kukutana
huko kumetokea siku ya Jumanne katika Hoteli ya Peacock Dar es salaam,
ambapo kumeambatana na chai ya asubuhi (Pastor’s Breakfast) kwa lengo la
kuwashirikisha wachungaji hao maono na mipango ya huduma ya Afrika
Let's Worship AFLEWO 2014 na pia kuomba ushiriki wao na wa washirika wao
katika maandalizi kwa ajili ya mkesha huo wa kusifuna kuabudu
unaotegemea kufanyika mwakani mwezi wa sita.
Kusanyiko limetokea siku chache kabla ya uzinduzi wa usajili na Mass Kwaya ambapo unaanza Jumapili hii saa 9:00 mchana Katika kanisa la City Christian Centre (CCC) Upanga jirani na Chuo cha mzumbe, usahili huo utaendelea mpaka Januari na kufunga usajili wa kujiunga na Mass Kwaya hiyo,

Jumanne hiyo, kusanyiko hilo lilikuwa likiongozwa na Walezi wa huduma ya AFLEWO Tanzania ambao ni Pastor Paul Safari (DPC), Bishop Fredrick Kyara (P.C.E.A St. Columbus), Mwenyekiti Geoffrey Obielo na Administrator wa AFLEWO Tanzania Anna Abella Munyagi.
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa ni pamoja wao na kuwa walezi wa AFLEWO
wa sehemu kidogo katika kutoa ushirikiano pale itakapotakiwa,huduma zao
kusaidia kuwa ruhusu waumini wenyewe uwezo wa kuimba kuja siku ya
Jumapili kujiunga na AFLEWO Mass Kwaya, tutakapo karibia siku ya tukio
mwakani kutoa nafasi yaAFLEWO kwaya kuhudumu Makanisani kwao ikiwa ni
sehemu kuitangaza na taarifa kuwafikiwa watu katika makanisa mbalimbali
ili wahudhurie mkesha huo.
0 comments:
Post a Comment