Kwaya kongwe nchini ya Tumaini Shangilieni kutoka St. James Anglican
Arusha inaondoka mida hii kwa ndege ya kampuni ya Fastjet kuelekea
nchini Afrika ya kusini kihuduma,ambapo inatarajiwa kurejea nchini siku
ya jumanne ijayo. Tutawajulisha zaidi juu ya safari hiyo
0 comments:
Post a Comment