MAMLAKA YA MAJI KAHAMA "KUWASA" YATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MVUA YA MAWE ILIYOUWA WATU 46 WILAYANI KAHAMA
Mamlaka ya Maji Kahama
KUWASA imeungana na mashirika mbalimbali nchini na watu wengine kutoa
misaada ya kibinaadamu kwa waathirika wa janga la mvua ya mawe iliyouwa
watu 46 na kujeruhi wengine zaidi ya 90 wilayani Kahama Mkoani
Shinyanga.
Kwa mujibu wa taarifa
iliyotolewa leo na Afisa uhusiano wa KUWASA, msaada huo wenye thamani ya
shilingi laki tano (500,000) umetolewa juzi imetoa msaada juzi wenye
katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya.
Mkama ametaja misaada hiyo kuwa ni pamoja na Vyakula na Maturubai kwa ajili ya Malazi kwa wahanga hao.
ANGALIA MATUKIO ZAIDI KATIKA PICHA HAPA CHINI:-
0 comments:
Post a Comment