Haya ni baadhi ya vyumba vya mabweni yaliyoungua
shule ya sekondari Idodi iliyopo katika kijiji idodi wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa kumetokea ajari ya moto iliyounguza vyumba 6 vya bweni la wasichana hali iliyofanya shule hiyo ifungwe kwa wiki mbili.
Insert kamanda idodi 1..................
Kamanda wa polisi mkoani Iringa amesema jeshi la polisi linaendeleakuchunguza nini chanzo cha ajari hiyo kutokea ikiwa ni mara ya tatu kutokea kwa ajali ya moto katika shule ya sekondari idodi.
INSERT kamanda idodi 2..........
Aidha kamada wa polisi ameongeza kuwa katika uchunguzi wao watahusisha watu wenye taaruma ya ujenzi, na Tanesco, wakishirikiana na jeshi la polisi ilikujua nini chanzo cha moto huo.
INSERT kamanda 3............
Na Katika ajali hiyo hakuna madhara makubwa kwa maisha ya binadamu yaliyowakuta wanafunzi lakini mali zao zimeteketea kwa moto na huku tathimini yakujua thamani ya vitu vyao inaendelea kufanywa.
0 comments:
Post a Comment