Baada Ya All Kigoma Stars Bongo Fleva Sasa ni All Kigoma Gospel Concert
Baada ya Wiki Chache zilizopita Kukusanyika wanamuziki wa Bongo Fleva na
Kuandaa Tamasha Kubwa la Bongo Fleva Linalowajumuisha wanamuziki Wa
muziki huo wanaotoka Mkoa wa Kigoma na liliandaliwa na Mhe. Mbunge wa
Kaskazini Zitto Kabwe. Wanamuziki wa Injili Wenye asili Ya Mkoa huo Wa
Kigoma Nao Wameandaa tamasha Kubwa la Muziki wa Injili Litakalofanyika
Katika Mkoa Huo.
Mkoa Huo Uliobarikiwa Kuwa na Wanamuziki Maarufu wa Injili wanaovuma Ndani na Nje ya Tanzania, baadhi ya wanamuziki Hao ni Christina Shusho, Amon Kilahiro, UpendoNkone, Victor Aron, John Shaban na Wengine Kadha Wa Kadha.
Tamasha hilo lililopewa Jina la Haleluya Msifuni Bwana Linatarajiwa kufanyika tarehe 19 Mwezi huu wa Nane katika Viwanja Vya Lake Tanganyika.

0 comments:
Post a Comment