SHEREHE ZA IPENDE TANZANIA(LOVE TANZANIA FESTIVAL) KUANZA MCHANA WA LEO JANGWANI
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye zile sherehe za Ipende
Tanzania ama Love Tanzania Festival zinatarajiwa kuanza rasmi mchana wa
leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam chini ya muhubiri
wa kimataifa Andrew Palau, timu yake na waimbaji maarufu wa muziki
duniani ambao watakwenda sambamba na waimbaji wenyeji katika kumsifu
Mungu.
Nakatika kuonyesha kwamba watu wa jijini Dar es salaam wanahamu na sherehe hizo ambazo tayari zilikwishaanza katika maeneo mengine ya jiji kwakutolewa huduma mbalimbali za kiroho na kimwili, mamia ya watu walijazana hapo jana katika viwanja vya Jangwani wakati mafundi mitambo na timu nzima wakiwa wanajribisha muziki na kuweka sawa mambo mengine.
Wakati hayo yakijiri, hapo jana majira ya asubuhi maeneo ya Wami watu wapatao 12 walifariki dunia papo hapo baada ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kugongwa na Lori, 42 wamejeruhiwa wakati 14 hali zao ni mbaya. Ambapo katika watu waliofariki wapo kundi la wanawake kutokea huko eneo la Thika nchini Kenya walikuwa wakija nchini katika kanisa la Presbyterian St. Columbus kwa mchungaji Freddie Josephat Kyara huku taarifa zikisema wanawake hao walikuwa wakija pia kushiriki sherehe za kidini jambo ambalo linaelekezwa na sherehe za Ipende Tanzania zinazofanyika kuanzia hii leo saa saba mchana.
Baada yaa kutokea kwa ajali hiyo serikali ya Kenya imetuma ndege kwa ajili ya kuchukua miili ya marehemu pamoja naa majeruhi kuwarejesha nchini Kenya.

Picha kwa hisani ya Silas Mbise na Sam Sasali.

SHANGWE ZA JUMAMOSI NA GK--MWIMBAJI WA KWETU PAZURI KUOLEWA HAPO KESHO
Mwimbaji huyo ambaye huimba sauti ya kwanza na yapili, jumapili iliyopita ilifanyika tafrija maalumu ya utambulisho wa mumewe mtarajiwa bwana Ronnie na kuhudhuriwa na waimbaji wenzake wa kundi la Ambassadors of Christ ambao walirejea nchini humo wiki moja iliyopita wakitokea nchini Kenya walikokuwa kwa mwaliko wa huduma.
Ngamije Thamar kushoto akiwa na dada yake wakati wa sherehe hizo za utambulisho. |
Ambassadors of Christ wakimsifu Mungu katika sherehe hiyo. |
Wahusika wakuu. |
Ndivyo mambo yalivyokuwa huko kwao jijini Kigali jumapili iliyopita, Kesho ndio wanapanda madhabahuni kufunga ndoa yenyewe rasmi. Picha kwa hisani ya KJ Marcello Velosco.
0 comments:
Post a Comment