Wakazi wa nyanda za juu kusini jumapili hii watashuka kwa pamoja katika ukumbi wa st.dominic manispaa ya iringa kushuhudia uzinduzi kabambe wa mama masawe au thabita masawe .
uzinduzi huo ambao unatarajiwa kuhudhuria na maelfu ya watu huku mwimbaji wa injili inchini hapa namzungumzia bahati bukuku atakuwepo siku hiyo.
akizungumza na mtandao huu mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye pia ni katibu mwenezi wa chama cha muziki wa injili tanzania chamuita,amesemakuwa kiingilio katika uzinduzi huo kwa wale watakao wahi wataingia buree lakini watakao chelewa wataingia kwa shilingi 2000 za kitanzania bila kusahau ofa za ndani hizo ndo usisemeee aiseeeee...gospel za iringa na habari itakupa matukio yote ya uzinduzi huoooooooooooooooo
0 comments:
Post a Comment