Edward Lowassa ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,tisha mbaya aiseeee.
Ninayo Ripoti nyingine toka Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha, watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi.
Mbunge Edward Lowassa tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake.
Kulikuwa na mvua ndogo hivi lakini watu
wameendelea kuingia, mpaka sasa hii Uwanja umejaa, watu ni wengi na wapo
baadhi ya viongozi mbalimbali ambao tayari wamefika ikiwemo Mzee Kingunge.
0 comments:
Post a Comment