Home » » DUH!!!!!UNYAMA Jijini Mwanza: Bibi Amchoma Visu Vya Moto Mjukuu Wake Akimtuhumu Kupoteza Peni Ya Sh. 200

DUH!!!!!UNYAMA Jijini Mwanza: Bibi Amchoma Visu Vya Moto Mjukuu Wake Akimtuhumu Kupoteza Peni Ya Sh. 200

DUH!!!!!UNYAMA Jijini Mwanza: Bibi Amchoma Visu Vya Moto Mjukuu Wake Akimtuhumu Kupoteza Peni Ya Sh. 200


Jeshi  la  Polisi  Mkoani  Mwanza  linamshikilia  bibi  mmoja  ajulikanaye   kwa  majina  ya  Laurencia  Athanas  mkazi  wa  Kiseke, Ilemela  jijini  Mwanza kwa  tuhuma  za  kumchoma  visu  vya  moto mjukuu  wake  na  kumsababishia  majereha  mbalimbali  mwilini  akimtuhumu  kupoteza  peni  ya  sh. 200.

Mtoto  huyo  aitwaye  Jackson  Hosea ( 10 )  ambaye  ni  mwanafunzi  wa  darasa  la  tatu  katika  shule  ya  msingi  Kiseke iliyoko  Ilemela  Jijini  Mwanza alifanyiwa  unyama  huo  nyumbani  kwa  bibi  huyo  ambaye  ni  mzazi  wa  mama  yake  aishiye  Nzega  siku  ya  Ijumaa  jioni   tarehe  23 May  2015.

Afisa  Mtendaji  wa eneo  hilo, Bi  Hellen  Mcharo  ameithibitishia  Mpekuzi  kutokea  kwa  tukio  hilo  na  kudai  kwamba  liliibuliwa  kwa  mara  ya  kwanza siku  ya  Jumatatu  ya  Mei 25, 2015   na  mwalimu  wa  mtoto  huyo  aliyemtaja  kwa  jina  moja  la  Mwl. Midali


Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog