MWANAUME MMOJA MKAZI WA MKIMBIZI MANISPAA YA IRINGA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA ISSA AMEKUTWA NA WAKATI MGUMU BAADA YA WANAINCHI WENYE HASIRA KALI KUMVAMIA NA KUMLAZA KWENYE KABURI LA MWANAE NA KUMTANDIKA VIBOKO KWA KOSA LA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAE.
TUKIO HILO LA KUSHANGAZA LIMETOKEA KATIKA MTAA WA MKIMBIZI ULIOPO KATA YA MKIMBIZI MANISPAA YA IRINGA AMBAPO KWA MUJIBU WA MAELEZO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA MTAA AMESEMA SABABU YA MWANAUME HUYO KUPIGWA NI KUTOKANA NA ULEVI WAKE YEYE NA MKEWE ULIOSABABISHA MTOTO WAO KUTO PATA HUDUMA NA KUPELEKEA KIFO CHAKE .
0 comments:
Post a Comment