WAKATI kukiwa na maswali mengi juu ya nini kilichosababisha kifo cha
Waziri wa Fedha na Uchumi, marehemu Dk. William Mgimwa, Balozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya amesema kifo chake ni cha
kawaida na kimetokana na viungo vyake kushindwa kufanya kazi.
Balozi Msuya ametoa kauli hiyo
0 comments:
Post a Comment