MWAKA WA NEEMA KWA MATHA MWAIPAJA PAMOJA NA MMEWE JOHN SAIDI
MUNGU AMEWABARIKI MTOTO WA KIUME WIKI HILI AMEJIFUNGUA SALAMA BILA OPARESHENI UTUKUFU KWA MUNGU.Matha mwaipaja siku ya send off yake akiwa na mumewe mchungaji john said.
Mwimbaji wa nyimbo za injili matha mwaipaja anayetamba na albamu mbalimbali kama vile Ombi langu kwa Mungu na kwa msaada wa Mungu, wiki hii ya tare. 7 januari 2014 Mungu alimsaidia kujifungua mtoto wa kiume.
0 comments:
Post a Comment