BAADA YA KAZI NZITO 2013, KWETU PAZURI WAPONGEZANA
![]() |
Sarah Uwera mmoja kati ya solo hodari wa Ambassadors akiwa katika pozi. |
Katika pikiniki yao iliyofanyika ufukwe wa Rwesero huko nchini kwao, walishinda pamoja wakipeana shuhuda, kula pamoja, michezo pamoja na uimbaji ambapo uongozi wa kwaya hiyo uliwapa vyeti vya heshima baadhi ya wanakwaya wa kwaya hiyo kwa utumishi wao wa kumuhubiri Kristo kupitia kwaya hiyo. Ambapo pia kwaya hiyo ilitumia muda huo kutiana moyo wanakwaya wote tayari kwa kumtangaza Kristo kwa mwaka 2014
![]() |
Twendeni mabalozi tukapunge upepo. |
![]() |
Mandhari saaafi. |
![]() |
Picha ya pamojaaa. |
![]() |
Sijajua haya matofali yanawekwa chiniii ama yanataka kurushwa mwe! |
0 comments:
Post a Comment