MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI STELA JOEL SIKU YA JUMAMOSI ALIFUNGA HARUSI NA YERIMO
PICHA ZIMEPIGWA NA RUMAFRICA +255 715851523
Mungu ni mwema na ni Mungu wa vitendo. Baada ya maombezi makali ya kila
mtu kumtafuta yule ampendae, Mungu aliweza kujibu kilio cha Stella Joel
na mpenzi wake Yerimo kwa kufanikisha ndoa yao iliyofungwa katika kanisa
la Pentecostal Holiness Mission Light House Christian Center Ubungo na
tafrija kufanyika katika ukumbi wa Mawasiliano Ubungo jijini Dar esa
Salaam siku ya jumamosi
UNAWEZA KUWASILIANA NA STELLA JOEL KWA SIMU HII +255 756 846166
AU +255715 049143
Stella Joel kutoka Bukoba (Mhaya)
Yerimo kutoka Iringa (Mhehe)
Bloga wenu Rulea Sanga aliyehusika ipasavyo kukuletea habari hizi na kupiga picha
MATUKIO KATIKA PICHA
SEHEMU YA KWANZA
STELLA JOEL AKIELEKEA KANISANI AKITOKEA SALOON
Mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Rutiu ndiye aliyekuwa dereva wa Bwana na Bibi Harusi
0 comments:
Post a Comment