Jumla ya watahiniwa laki 235,227 wa kidatu cha nne sawa na
asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wa taifa kuhitimu kidatu hicho kwa mwaka 2013 wamefaulu.
Ambapo Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu
ni laki 128,435.
Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja
ya I -III.
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki
126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Shule 10 zilizoongoza ni
St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian
Girls, Abbey
Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco
Seminary
Zilizofanya vibaya: Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga,
Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile
0 comments:
Post a Comment