STENDI MPYA IGUMBILO HATIHATI KUJENGWA IGUMBILO, WAZIRI APIGA STOP HARAKATI ZA UJENZI WAKE
Dk Mahenge akiwa na viongozi wa mkoa na Manispaa ya Iringa katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa maji, lisijengwe stendi hiyo |
Wakiangali Mto Ruaha Mdogo |
Pana ka umbali |
Eeneo lenyewe ndio hilo |
Mto Ruaha Mdogo |
Habari kamili kuhusiana na taarifa hii itakujia kesho; Utasoma kauli ya waziri, mkuu wa mkoa, katibu tawala wa mkoa, mstahiki meya, naibu meya, mkurugenzi wa NEMC na Bonde la Rufiji.
0 comments:
Post a Comment