Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kifo hicho
kilitokea juzi saa 12 jioni eneo la Zingiziwa Chanika wilayani Ilala.
Kamanda Nzuki alisema mtoa taarifa, Mohamed Kambi (44) mkazi eneo
hilo alieleza kwamba alikutana na marehemu Septemba 12 mwaka huu katika
kilabu cha pombe za kienyeji huko Chanika.
Kambi alisema baada ya kukubaliana walianza kuishi kama mke na mume na huku akibainisha kwamba walifanya mapenzi mara mbili.
“Septemba 15 saa 11 jioni mtoa taarifa na marehemu walikwenda
magengeni kununua mahitaji ghafla marehemu alianguka akawa analalamika
mguu wa kulia unamuuma… katika harakati za kupunguza maumivu alimeza
dawa aina ya diclopa,” alisema kamanda.
Alisema
hali ya mgonjwa haikubadilika na ilipofika Septemba 16 saa 10 jioni
alifariki dunia huku akibainisha kwamba haifahamiki marehemu ni mkazi wa
wap
0 comments:
Post a Comment