IRINGA MOTO KUWAKA KESHO KATIKA UKUMBI WA HIGHLAND HALL KWENYE UZINDUZI WA ALBAMU YA POKEA SIFA BWANA YA YUSUFU NGALOWOKA.
hapa akiwa amepozi na kipenzi chake yaani mama watoto |
yusuphu ngaloka family |
Kwa mara ya kwanza wakazi wa iringa siku ya kesho wanatarajia kupata burudani ya aina yake kwenye uzinduzi wa mwimbaji mahili wa mziki wa injili na mwandaaji yusuphu ngalowoka utakao fanyika katika ukumbi wa highland hall uliopo manispaa ya mungu
uzinduzi huo ambao umeratibiwa na mwenyekiti wa maandalizi bi veronica james meneja wa hospitali ya aghakhani iliyopo manispaa ya iringa utakuwa wa aina yake kwani ni kwa mara ya kwanza kwa waimbaji hao kuandaa tamasha bila kuwahusisha waimbaji wakubwa wa injili kutoka mikoa ya nje na iringa.
katika uzinduzi huo utakahudhuliwa na kwaya mbalimbali na waimbaji binafsi mgeni rsmi atakuwa ni mahamudu madenge kada wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa
gospel za iringa itakuletea matukio ya tukio lote kwa ujumla........
0 comments:
Post a Comment