'BABU' ANELKA ASAINI TIMU YA INDIA, MWENYEWE AMEFURAHI KINOMA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Real Madrid na Chelsea, Nicolas Anelka ametangaza kujiunga na Mumbai City ya Ligi Kuu ya India.
Imeripotiwa kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35, ambaye amekuwa hana timu tangu aondoke West Brom Machi mwaka huu, amekubali mkataba wa muda mfupi na timu ya ISL inayofundishwa na Peter Reid.
"Ninayo
furaha kujiunga na Mumbai City FC na nimevutiwa sana kujiunga na Ligi
Kuu ya India," ameandika Anelka kwenye akaunti yake ya Twitter.
0 comments:
Post a Comment