Shabiki
wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala
3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC
ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu
zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.
|
0 comments:
Post a Comment