Home »
» AUAWA KWA KUKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI NA KUKATWA KIGANJA CHA MKONO WA KULIA
NA DENIS NYALI
IRINGA
Mtu mmoja amelipotiwa kufaliki dunia mkoani iringa huku wengine
wakishikiliwa najeshi la polisi kwakukutwa na nyara za serikili
Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo
kamanda wa polisi mkoani iringa ACP ramadhani mungi amesema kuwa tukio
la kwanza limetokea katika kijiji cha lyamuko kilichipo kata ya boma la ng’ombe
wilaya ya kilolo mkoani iringa.
ambapo amemtaja mtu mmoja anaye
fahamika kwa jina la pakton mgwilanga (80) mkulima mkazi wa kijiji cha lyamuko
ameuwawa kwakukatwa na kitu chenye ncha kali kwenye paji lake la uso na kukatwa
kiganja cha mkono wake wa kulia.
Aidha kamanda mungi amewataja
watuhumiwa wa tukio hilo kuwa ni mjuto mgwilanga (36) mtoto wa marehem na Erick
mhenzi (25) mjukuu wa marehem watuhumiwa
wanatafutwa na jeshi la polisi huku chanzo cha tukio hilo kikiwa ni ugomvi wa
mashamba.
Wakati huohuo askari wa hifadhi
wanyama pori ya ruaha wakiwa doria wamewakamata ADAM ISSA mkazi wa kihesa
KENETH MZENGO (46) na EWALO NZABILO (28)wakiwa na meno ya tembo yenye uzito wa
kilo 3.5 watuhumiwa wamekamtwa
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
0 comments:
Post a Comment