Marehemu George 'Bonge' Njabili |
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Tabata Bima karibu na Shule ya
St Mary's ambapo watu mbali mbali wanaweza kufika kutoa pole kwa familia
ya Marehemu.
Ratiba ya kuuaga mwili itaanza kesho saa 4 kamili aubuhi nyumbani kwa marehemu hadi hapo itakapo ishia kisha msafara utaanza kuondoka kuelekea katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Mtoni ambapo watu watapata nafasi ya kuaga tena kabla ya safari ya kuupeleka mwili Tukuyu, mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa mtoa ratiba, Benjamin Kihogo ambaye pia ni mwalimu wa kwaya ya Mtoni, ameeleza kwamba pia watu wanaweza kuchangia kwa kupitia namba ya kaka wa marehemu Tigopesa 0654 02 14 23 Mpesa 0754 46 41 02.

Na Joseph Msami,
GK Author.
GK Author.
Marehemu George bonge, Joseph Msami na Ritha Chuwalo. |
Nimesikitishwa sana na msiba wa huyu mutumishi na rafiki yangu!
Nilipomwona zaidi ya miaka kumi iliyopita nilimpenda na kumwomba awe
rafiki yangu. Wakati huo hata simu za mikononi zilikuwa siyo nyingi
akanipa no ya mezani ofisini kwake.
Niliwasiliana naye sana na hata mara nyingine nahisi nilikuwa namsumbua.
Lakini nimejifunza sana unyenyekevu wake mkuu ambao siwezi kuusahau na
namna alivyokuwa akimpokea mtu yeyote utadhani wanafahamiana naye kwa
muda mrefu!
Imeniuma sana kumpoteza mtu huyu muhimu. Pia nimetiwa changamoto ya kujiandaa muda wowote (Zaburi119:1-5) ili andiko likitimia niwe tayari.
Natamani ningekuwa Dar nishuhudie safari ya mwisho ya rafiki yangu. Nawaombea sana hususani shemeji (mke wa George). Mungu hatawapungukia.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2014/11/kwaheri-rafiki-george-nasi-tunafuatia.html#sthash.Ner8dmWg.dpufImeniuma sana kumpoteza mtu huyu muhimu. Pia nimetiwa changamoto ya kujiandaa muda wowote (Zaburi119:1-5) ili andiko likitimia niwe tayari.
Natamani ningekuwa Dar nishuhudie safari ya mwisho ya rafiki yangu. Nawaombea sana hususani shemeji (mke wa George). Mungu hatawapungukia.
0 comments:
Post a Comment