Simanzi
zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali
iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya
mashahidi aliyefika eneo la tukio na hospitali
ya Mount Meru amesema ajali ilitokea majira ya saa kumi jioni huko
maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru iliyohusisha gari la abiria aina ya
Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda Arusha mjini na Lori la
mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa
hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita magari mengine ndiyo
akakutana uso kwa uso na lori hilo. Habari kamili zitawajia punde.
Home »
»
Posted by Unknown
Posted on 7:10 AM
with No comments
POLENI SANA NDUGU ZETU WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA ANGALIA PICHA HAPA
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment