Home » » SAFARI YA MWISHO YA OLIDER NJOLE NI KESHO ATAZIKWA MAKABURI YA SALASALA TEGETA JIJI DAR ESALAMU NA KUHUDHURIWA NA WAIMBAJI MBALIMBALI WA NYIMBO ZA INJILI PAMOJA NA WADAU WA MZIKI HUO HII NI KWA MUJIBU WA KATIBU MWENEZI WA CHAMUITA .

SAFARI YA MWISHO YA OLIDER NJOLE NI KESHO ATAZIKWA MAKABURI YA SALASALA TEGETA JIJI DAR ESALAMU NA KUHUDHURIWA NA WAIMBAJI MBALIMBALI WA NYIMBO ZA INJILI PAMOJA NA WADAU WA MZIKI HUO HII NI KWA MUJIBU WA KATIBU MWENEZI WA CHAMUITA .

Olider njole  wa pili kulia kutoka kwa mwenye shart jekundu enzi za uhai wake akiwa na waimbaji na watangazaji mwenye shati jekundu ni denis nyali mtangazaji wa overcomers wa pili kushoto ni mwandaaji wa kipindi cha jahazi clous fm na wa tatu ni dp mtangazaji wa clous aliyevaa miwani ni madamu luth mwimbaji wa gospel wakati wa harusi ya stela joel mwaka jana.

olider njole enzi za uhai wake.


Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog