Mamlaka ya chakula na Dawa
nyanda za juu kusini imeendesha zoezi la kuteketeza bidhaa mbalimbali mkoani
iringa ambazo zimekwisha mda wake wa matumizi.
Akizungumza na nuru fm
wakati wa kuteketeza bidhaa hizo Mkaguzi wa TFDA nyanda za juu kusini PAUL
SONDA amesema kuwa wametekeza bidhaa hizo ili kulinda afya ya mlaji.
Aidha PAUL SONDA amewataka
wanunuzi wa dawa au vipodozi kuhakikibidhaa hizo kwa kuangalia kama
zimesajiliwa na TFDA.
Kwa upande wake AFISA AFYA
Mkoa wa iringa HADIJAH HAROUN amebainisha kuwa ni vyema wananchi wakashirikiana
na mamlaka husika kutoa taarifa kuangamiza
bidhaa ambazo hazijasajiliwa ili
kulinda afya za wananachi.
0 comments:
Post a Comment