albamu mpya ya ambwene mwasongwe ambaye pia anatarajia kutikisa mji wa iringa wiki hii |
Wiki hili kuanzia alhamisi wakazi wa iringa watapata baraka za mwaka kutoka kwa waimbaji wa injili ambwene mwasongwe pamoja na tumsifu katika kongamano la maombi na maombezi linalotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mwembetogwa manispaa ya iringa
mkutano huo unaosubiriwa kwa hamu mhubiri ni mtume na nabii ezekiel fungo kutoka jiji la mwanza ndiye atalkaye hubiri gospel za iringa itaendelea kukuhabarisha matukio yote
0 comments:
Post a Comment