UTAJIRI WA DHULUMA NA KAFARA HAUNA BARAKA WALA AMANI
Askofu Paul Akyoo. picha kwa hisani ya elct.org |
Askofu Akyoo katika mahubiri yake alisema utajiri wa dhuluma na kafara hauna baraka wala amani kwa wahusika kutokana na dhamira zao kuwasuta kila wanapokumbuka uhalifu walioutenda. Aidha kwa upande wa mkuu wa mkoa Arusha Magesa Mulongo akisema “Waliomuua Msuya wataumbuka mchana kweupe wiki ijayo watakapofikishwa mahakamani. Nawahakikishia kuwa vyombo vya dola viko kazini na ukweli kuhusu waliohusika na tukio hili la kinyama utajulikana hadharani wiki ijayo wahusika watakapofikishwa mahakamani,” alisema Mulongo katika ibada hiyo.
0 comments:
Post a Comment