Tuesday, July 9, 2013
HABARI PICHA ZA TAMASHA LA HUDUMA MKOBA OUTREACH SERVICES LINALOENDELEA MANISPAA YA IRINGA KATA YA KIHESA NA MTWIVILA CHINI YA KITUO CHA VIJANA UMATI KWA KUSHIRIKIANA NA AMREF
Mratibu wa pamoja tuwalee UMATI Jemida Kulanga Akiwa na waelimisha rika katika meza ya elimu ,habari, taarifa sahihi, na ushauri kuhusu afya ya uzazi kata ya kihesa hivi karibuni. |
BI;Mary Biseko Mratibu kituo cha vijana UMATI Mtwivila akiwafafanulia vijana umuhimu wa afya ya uzazi |
Mtoa huduma wa afya akiendelea kuwahudumia vwateja waliohudhuria katika tamasha la huduma mkoba |
Umati wa watu waliofurika kupata elimu burudani za afya ya uzazi katika kata ya kihesa |
Sio vijana tu waliweza kushiriki hata babu huyu ambaye jina lake halikujulikana alikuwepo kushuhudia elimu na burudani siku hiyo |
Hili ni eneo la ofisi ya kata ya Kihesa tukio lilipofanyikia |
HAPA WAKIWA NDANI YA STUDIO YA OVERCOMERS RADIO 98.6 IRINGA
Bi; Sezaria Mratibu wa afya ya uzazi manispaa ya Iringa wa pili ni Proaches Innocent Afisa Mradi AMREF Wakiendelea kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa vijana
0 comments:
Post a Comment