Home » » KAMA ULIIKOSA HII YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA NIMEKUWEKEA HAPA.

KAMA ULIIKOSA HII YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA NIMEKUWEKEA HAPA.

Add caption


Hapa akiandaliwa kwa ajili ya kupokea shahada ya udactari
















Jumamosi ya tare 6 mwezi wa pili 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa Dr. Jesca Msavambatavangu  ambaye pia ni mlezi wa chama cha muziki wa injili tanzania nyanda za juu kusini chamuita.
Mwenyekiti huyo ambaye pia ni mmiliki wa shule za star international english medium primary na sekondary kutokana na mchango wake mkubwa kwa jamii chuo kikuu wa african gradurate university cha sierraione kilimtunuku shahada ya udactari kutokana na mchango wake.
Miongoni mwa waliotunukiwa shahada ya udactari ilikuwa ni pamoja na naibu waziri wa ardhi dr angelina mabula .
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog