Posted by Unknown
Posted on 8:43 PM
with No comments
Add caption
frola mbasha na mumewe waimbaji wanaotamba na albam ya fanyanjia wakati waakihojiwa na voice of america wakati wa ziara yake nchini ambapo sasa wamesharejea nyumbani
wakati huohuo frola mbasha pamoja na mumewe wanampango wakuendera naprogram za kuwasaidia wanaichi ambao bado wanakabiliwa na tatizo la MAJI hapa nchini kwa maeneo tofauti tofauti
0 comments:
Post a Comment