Usiku wa Tarehe 18, November 2016 ulikuwa ni usiku wa Shoo ya Singeli na WanaIringa ulioandaliwa na kituo cha redio cha Nuru Fm ambapo kulikuwa na mashindano ya kuimba na kucheza Singeli.
Mashindano yalikuwa na mvuto wa aina yake, na kulikuwa na kazi ngumu ya kumpata msanii anayejua kuimba kwa maana wote walikuwa ni wakali mno.
Mwishowe mshindi wa kucheza na kwa upande wa mshini wa kuimba walipatikana, ila kitu cha pekee ni kwamba shoo ilikuwa na viongozi wakubwa Tanzania....
Tizama Picha hapo chini.
0 comments:
Post a Comment