ASKARI POLISI WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI KATIKA MAJIBIZANO YA RISASI HUKO TA
Baadhi ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi
namba moja aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa
ya Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa namba F.5179 PC
JUMANNE,walipigwa risasi wakiwa na askari mwenzake ambaye pia alifariki
papo hapo namba G.3388 PC SHABAN.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP SUZAN KAGANDA akizungumza...
0 comments:
Post a Comment