.BONGO POWER TV BLOG
.
Home
NENO LA UZIMA
WOKOVU
MICHEZO
HISTORIA
IMANI
Home
» »
Posted by Unknown
Posted on 11:58 AM with
No comments
UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHALINZE WAFANA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa jimbo la Chalinze katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze leo.
Mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete akiwahutubia wananchi wa jimbo la Chalinze wakati alipokuwa akiomba kura.
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akimsikiliza mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega mara baada ya kumuombea kura Rihiwani Kikwete, katikati ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik
mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega kulia akizungumza na Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuombea kura
mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega akimuombea kura Ridhiwani Kikwete.
Msaniki Sam wa Ukweli kushoto akiwa katika picha ya pamoja na mpenzi wa Chama cha Mapinduzi Bw. Mustafa Selemani.
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akiwahutubia wananchi katik
a mkutano huo.
Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka akiwahutubia wananchi wa Chalinze wakati wa mkutano huo.
Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na kukaribisha baadhi ya viongozi katika mkutano huo.
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akimsikiliza mkuuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik.
Kundi la muziki la TOT likitumbuiza katika mkutano huo.
Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo wakiwa wamebeba Picha za mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete.
Malkia wa muziki wa Taarab kutoka kundi la TOT Khadija Omar Kopa kulia akiongoza kundi hilo wakati lililpokuwa likitumbiza katika mkutano huo leo.
Marafiki mbalimbali wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete waliojitokeza katika mkutano huo wakinyanyua juujuu mabango yenye picha zaRidhiwani Kikwete.
Cheki hili nyomi
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi kulia, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati na mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete wakiondoka eneo la Mkutano mara baada ya kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati,
Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi na Ridhiwani Kikwete wakitembea kwa miguu kuelekea eneo la mkutano uliofanyika viwanja vya Polizi mjini Chalinze leo.
Tweet
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by
Joseph Kipangula
Enhanced by
Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
NURU FM 93.5 IRINGA
Get the Flash Player
to see this player.
Shoutcast & Icecast Server
free hit counter
.
.
Nyali
TZA_MillardAyo
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
Mzee wa matukio daima
ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA KILOLO NA USILOLIJUA
BONGO LEAKS
CHALAMILA APIGANIA NYONGEZA YA POSHO ZA VIONGOZI WA CCM
DUNIA KIGANJANI
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora watoa tamko kulaani watu kutekwa
JOSEPH KIPANGULA BLOG | Your Blog Description
Pages
Home
Pages
Home
Powered by
Blogger
.
Home
Blog Archive
►
2020
(1)
►
January
(1)
►
2017
(45)
►
September
(19)
►
August
(5)
►
July
(3)
►
April
(6)
►
March
(2)
►
January
(10)
►
2016
(178)
►
December
(2)
►
November
(3)
►
October
(7)
►
September
(2)
►
August
(1)
►
July
(3)
►
June
(3)
►
May
(9)
►
April
(94)
►
February
(15)
►
January
(39)
►
2015
(620)
►
December
(74)
►
November
(205)
►
October
(2)
►
September
(3)
►
August
(2)
►
July
(6)
►
June
(62)
►
May
(30)
►
April
(44)
►
March
(34)
►
February
(105)
►
January
(53)
▼
2014
(108)
►
December
(11)
►
November
(3)
►
October
(9)
►
September
(8)
►
August
(5)
►
July
(12)
►
June
(6)
►
May
(7)
►
April
(10)
▼
March
(6)
HUDUMA YA OVERCOMERS POWER CENTER YA MJINI IRINGA ...
KANISA LA WINNERS CHAPEL LA MAMILIONI LIPO KATIKA...
UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE C...
WAHITIMU KUTOKA SHULE MBALIMBALI KUTOKA MANISPAA ...
MAHAFARI YA KIDATO CHA SITA P.S.A MANISPAA YA IRIN...
►
February
(11)
►
January
(20)
►
2013
(77)
►
December
(10)
►
November
(19)
►
October
(5)
►
September
(13)
►
August
(7)
►
July
(1)
►
June
(5)
►
May
(3)
►
April
(2)
►
March
(6)
►
February
(4)
►
January
(2)
►
2012
(109)
►
December
(2)
►
November
(2)
►
October
(8)
►
September
(10)
►
August
(21)
►
July
(62)
►
June
(4)
(no title)
EXCLUSIVE:REBECCA MALOPE YUPO TAYARI KUFANYA KOLABO NA WAIMBAJI WA TANZANIA (VIDEO). Dr. Rebecca Malope leo ...
(no title)
Taarifa kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015. Taarifa kwa vyombo vya Habari , 4 Aprili 2015 ...
NIWAKATI WA KUOMBA DUNIA SASA IMEHARIBIKA
HIVI NDIVYO MWANANCHI WA KIJIJI CHA WENDA ALIVYOCHUNWA NGOZI Hivi ndivyo mkazi wa Wenda alivyochunwa ngozi na watu wasiojulik...
(no title)
UMOJA WA MAKANISA DAR ES SALAAM KUMLETA DON MOEN. Umoja wa makanisa ya Dar es salaaam ukishirikiana na shirika la kimataifa la L...
Habari kubwa za Magazeti 14 ya Tanzania leo November 24 2015 kwenye Udaku, michezo na hardnews.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
Search This Blog
0 comments:
Post a Comment