MAHAFALI YA PILI YA SHULE YA SEKONDARI KWAKILOSA YAFANA MJINI IRINGA

ANNA NYALI AKIPOKEA CHETI  KATIKA MAHAFALI HAYO
MMILIKI WA MTANDAO HUU AMBAYE NI KAKA NA ANNA NYALI AIKIMPONGEZA KWA KUMVALISHA TAJI
KULIA NI BABA MZAZI WA MMILIKI WA MTANDAO HUU BATISTA NYALI PICHANI

TUMAINI MAKUMILA IRINGA SASA KUJITEGEMEA NA KUWA UNIVERSITY OF IRINGA (UOI)





MAHAFALI YA KUMI NA SITA (16) YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA TUMAINI IRINGA MAKUMIRA YAKIENDELEA

 

    MLAU  MCHUNGAJI  OSWALD NDELWA AKIFAFANUA MAELEZO YAHUSUYO  DIGRII NA UVAAJI WA KOFIA KAMA TUKIO MAALUM LA KITAALUM

    WAHITIMU WA  DIGRII YA UZAMILI MCHUNGAJI HIMIDI SAGGA WA KKKT IRINGA  

     HAPA NI KIJANA MDOGO KABISA PAUL LUBAWA AKISUBIRI KWA HAMU KUTUNUKIWA DIGRII YAKE YA UZAMILI
                                   

MATUKIO YAKIENDELEA HAPA TUMAINI UNIVERSITY IRINGA

MHADHILI WA CHUO HIKI  BW.SAIMON BEREGE AMBAYE NDIYE MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI WA MAHAFALI HII

 MHADHILI WA CHUO HIKI  BW. MELKZEDECK NDUYE  MC WA MAHAFALI
PROFESA PARSLAW  AKITOA SALAMU ZA MKUU WA VYUO VIKUU VYA TUMAINI MAKUMIRA

 MKUU WA KITIVO CHA THEOLOGIA DR. STEVEN KIMONDO AKITAJA WAHITIMU
 MKUU WA KITIVO CHA BIASHARA NA UCHUMI  BW. CHONYA  AKITAJA WAHITIMU

 MKUU WA MKOA WA IRINGA DR. CHRISTINE ISHENGOMA NAYE ALIKUWEPO
 MKUU WA KITIVO CHA THEOLOGIA  SAYANSI YA JAMII AKITAJA WAHITIMU
    PROFESA NIWAGIRA AKISALIMU HALAIKI  ILIYOHUDHURIA MAHAFALALI HII
  PROFESA  SETH NYAGAVA  AKISALIMU HALAIKI  ILIYOHUDHURIA MAHAFALALI HII

     MZEE IBRAHIMU KADUMA NAYE AKIFUATILIA SHUGHULI ZA MAHAFALI
  ASKOFU MSTAAFU WA KKKT DODOMA  DR. PETER LUKUMBUSHO MWAMASIKA AKIMSIKILIZA  MWENYEKITI WA BODI ASKOFU DR. OWDENBURG MDEGELLA AHAYUPO PICHANI


 MWENYEKITI WA BODI ASKOFU DR. OWDENBURG MDEGELLA AKITOA HOTUBA YAKE 
 MAKAMU MKUU WA CHUO TAALUMA  DR.RICHARD MATHAYO  LUBAWA AKIFURAHIA JAMBO
   MKURUGENZI  MSTAAFU WA MAJI MKOA WA IRINGA  ENGINEER MARKO MFUGALE AKIFUATILIA MAHAFALI HII
    JAJI MKUU MSTAAFU AGUSTINO RAMADHANI AKITOA SALAM
     MZEE JOSEPH MUMGAI AKISIKILIZA SALAM ZA JAJI RAMADHANI

MATUKIO MBALIMBALI YA MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRNGA MAKUMIRA







MAHAFALI YA CHUO KIKUU TUMAINI MAKUMIRA YAFANA

    HAPA NI MCHUNGAJI ANDENDEKISYE NGOGO NA KINYOA WOTE TOKA  KKKT DAYOSISI YA IRINGA
   MSAFARA WA ATAKAYE KUWA MKUU MPYA WA CHUO KIKUU CHA IRINGA JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI UKIWASILI 
 MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU  TUMAINI MAKUMIRA  TAALUM MCHUNGAJI DR. RICHARD LUBAWA  AKIMKARIBISHA ATAKAYE KUWA MKUU MPYA WA CHUO KIKUU CHA IRINGA JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI 
    BAADHI YA WAHITIMU WETU WA LEO
     WAHITIMU WA KITIVO CHA THEOLOGIA
  MEZA KUU  WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO KIKUU  TUMAINI MAKUMIRA  ASKOFU  WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA  ASKOFU DR. OWDENBURG MOSES MDAEGELA 
    HAPA NI AFISA HABARI NA MAWASILIANO WA CHUO HIKI BI AGNESS KITUNDU NA TIMU YAKE WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA

     MAKAMU MKUU WA VYUO VIKUU VYOTE  VYA  TUMAINI MAKUMIRA  PROFESA MWAIKAMO 
    BAADHI YA WAHITIMU WA KITIVO CHA SHERIA

                                    THANKS KWA PICHA KURWA SADATALEY

BREAKING NEWS:MUME AUA MTOTO NA KUMCHOMA CHOMA MKE KWA KISU IRINGA

Bi Janeth akiongea na mwandishi wa habari
 Mwanaume mmoja mkazi wa ilolo mpya pawaga aliyetambulika kwa jina la Isaya Samamba,amejikuta hatiani baada ya kumuua kwa kumchomachoma mtoto wake Vanesa wa miezi kumi kwa kisu na kumjeruhi mama wa mtoto huyo anayetambulika kwa jina la Janeth malenda,akiongea na mtandao huu Bi.Janeth amesema kuwa siku hiyo alikuwa ameenda katika mkutano wa Injili na aliporudi nyumbani giza lilikuwa tayari limeingia,walipokuwa chumbani yeye,mtoto pamoja na mumewe alishangaa kuona ghafla mumewe akimchoma kwa kisu ndipo alipoamua kukimbia nnje na kupiga kelele ili wasamalia wema waje wamsaidie baada ya watu kufika walikuta mtuhumiwa amekimbia huku wakishuhudia mwili wa mtoto ukiwa umejaa damu na utumbo ukiwa nnje.
 Watu waliofika walichukua hatua na kutoa taarifa polisi na ndipo polisi walianza jitihada za kumsaka mtuhumiwa na alikamatwa usiku wa manane katika nyumba aliyofanyia mauaji akitaka kuchukua baadhi ya vitu ili atoroke  na kufikishwa katika kituo kikuu cha polisi Iringa. 
Mtandao huu unampa pole Bi.Janeth ambaye kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa iringa kwa matibabu zaidi.


WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA 

Shabiki mwingine aliyezimia
Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.







NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog