Jumapili ya iliyopita kwa ya ya wasabato wa chuo kikuu mkwawa waliweza kuszindua albamu yao ya kuona ya inayokwenda kwa jina la sikia sauti uzinduzihuo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mt. agustino ruco mjini iringa.
hapa ni kundi la baadhi ya kwaya zilizohudhuria katika uzinduzi huo
kwaya ya mt. benedeta kutoka mkwawa wakiimba
sda tumaini gangilonga wakiimba kwa pamoja
Home »
» THISDASO MKWAWA WAFANYA KWELI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAO YA PICHA YA 'SIKIA SAUTI
THISDASO MKWAWA WAFANYA KWELI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAO YA PICHA YA 'SIKIA SAUTI
Posted by Unknown
Posted on 10:59 AM
with No comments
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment