Home » » IRINGA HOLLY SEARCH IMEANZA RASMI LEO 16MARCH KATIKA UKUMBI WA TUCTA

IRINGA HOLLY SEARCH IMEANZA RASMI LEO 16MARCH KATIKA UKUMBI WA TUCTA

             Bi.kanzinyolo pichani akisisitiza jambo kwa washiriki
mwavita bernadi akishusha  upako naye pia ni miongoni mwa washiriki wa mashindano hayo

philipo kutoka bongo fleva hadi kwenye gospel


Hatmaye ule mtanange wa kusaka vipaji yaani iringa holly star search umeendelea leo katika ukumbi wa tucta katika manispaa ya iringa huku kila mshiriki akionesha hamu ya kuwa mshindi

Wakizungumza na mtandao huu baadhi ya washiriki wamesema kuwa kwa sasa wameanza kutambua nini wanachokifanya  kutokana na ushindani kuendelea kuwa mkubwa zaidi,
Kwa upande wa mwandaaji wa mashindano hayo bi. kazi nyolo amesema kuwa washiriki lazima wahakikishe kuwa wanakuwa makini kwani siku zilizobaki ni chache sana.

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog