HATIMAYE LEO NDO SIKU YA MWISHO WA KUFUNGWA KWA PAZIA LA KURA KWA AFRICAN GOSPEL MUSIC AWARD SASA NINI HATMA YA CHRISTINA SHUSHO TEREHE 7MWEZI 7 2012 NCHINI UINGEREZA JE ATAIBUKA KIDEDEA AU MIKONO MITUPU KAZI KWENU WAPENDWA NI MAOMBI TUUUU
Posted by Unknown
Posted on 8:43 PM
with No comments
![]() |
Add caption |
wakati huohuo frola mbasha pamoja na mumewe wanampango wakuendera naprogram za kuwasaidia wanaichi ambao bado wanakabiliwa na tatizo la MAJI hapa nchini kwa maeneo tofauti tofauti
Posted by Unknown
Posted on 6:02 PM
with No comments
Hapa wakati alipokuja Tanzania kwenye tamasha la pasaka
Malope kuja na albamu mpya ya nyimbo za kiingereza pamoja na za tenzi
Malkia wa muziki wa gospel barani
Afrika bi Rebecca Malope ameweka bayana kwamba yupo kwenye mchakato wa
kurekodi album maalum ambayo itakuwa ya nyimbo za kiingereza pekee,
ambapo mpaka sasa kupitia kampuni yake ya muziki mchakato wa kuandaa
album hiyo tayari umeanza.
Mwimbaji huyo aliyepata mafanikio makubwa katika tasnia ya muziki wa
gospel tayari ana album 33 za audio ikiwemo mpya aliyorekodi mapema
mwezi wa pili mwaka huu akiwashirikisha Tshwane Gospel Choir, ambayo kwa
upande wa DVD itakuwa ya 5 lakini ya kwanza kurekodiwa live. Rebecca
ameweka wazi mpango wake huo wakurekodi album maalumu ya nyimbo za
kiingereza wakati akihojiwa kupitia kipindi cha runinga cha Expresso
kinachorushwa na Sbc3.
Mwimbaji huyo pia ameweka bayana kwamba anatarajia kutoa kitabu cha
nyimbo zake za tenzi( ama album) kwa lugha mbalimbali nakuwataka
mashabiki wake na wapenzi wa gospel kwa ujumla kukaa mkao wa kupokea
album hiyo pamoja na kitabu.Rebecca amekuwa akitoa nyimbo kwa lugha ya
nyumbani kwao lakini pia amekuwa mda mwingine akiweka wimbo mmoja wa
kiingereza katika album zake, hata hivyo hakuweka bayana kama nyimbo
katika album hiyo itakuwa mpya tupu ama atachanganya na za zamani.
Posted by Unknown
Posted on 1:48 PM
with No comments
Mtummishi wa mungu DR. Boaz sollo akiwa na mama aliye jifungua mtoto baada ya maombi katika ukumbi wa idydc