Wito umetolewa kwa wakristo kote nchini kuweka bajeti za kiroho na sio za kimwili tu kwani kufanya hivyo kuta wasaidia kupendeza mungu na kupata dhawabu kutoka kwake
akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya kilolo ambaye ndiye alitakiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ya ATASHUKA kwaya ya revival ya tag ilula mtua jana bw.kiteve amewaasihi wanainchi kuacha kupanga bajeti za kimwili huku wakishindwa kupanga bajeti za kiroho ambako roho zetu zitakuwa huko.
hata hivyo mgeni rasmi aliahidi lakimoja na kumwomba mchungaji kuwa atasaidia kuwashawishi viongozi wengine akiwemo mbunge wa jimbo la kilolo katika kutia moyo kwa kusaidia kwaya hiyo
Mgeni rasmi kiteve mrefu akiwa na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo |
mwalimu wa kwaya ya revival ya TAG Akiendelea kuwabariki watu siku ya jana katika uzinduzi wa kwaya hiyo |
mwimbaji Dany kyungai akiwaburudisha walio hudhuria katika tamasha hilo |
mgeni rasmi akiendelea na hotuba |
Maria kilave kutoka ilula akiimba |
Mrs wedy kutoka ilula kama kawaida akiwa burudisha watu |