Wanakwaya ya youth alive kutoka cct mkwawa baada ya kutamba na albamu ya gusa ambayo wametambanayo kwa miaka miwili hatmaye siku ya jumapili ya tare 7.4 .2013 katika ukumbi wa ruco mkoani iringa na hizi ni baadhi ya picha ambazo zilipigwa siku ya tukio
hope kwaya kutoka cct ruco wakiendelea kumsifu mungu
thisdaso kwaya kutoka mkwawa wakiendelea kuimba
mwenyekiti wa youth alive akisoma risala
victor andrew papa akizungumza jambo
ebenezer mgidange on stage
Home »
» YOUTH ALIVE CHOIR CCT MKWAWA WAZINDUA ALBAMU YAO YA PILI YA NJOONI TUKARIBIE KITI CHA REHEMA
YOUTH ALIVE CHOIR CCT MKWAWA WAZINDUA ALBAMU YAO YA PILI YA NJOONI TUKARIBIE KITI CHA REHEMA
Posted by Unknown
Posted on 6:39 PM
with No comments
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula
0 comments:
Post a Comment