NIWAKATI WA KUOMBA DUNIA SASA IMEHARIBIKA

NIWAKATI WA KUOMBA DUNIA SASA IMEHARIBIKA
HIVI NDIVYO MWANANCHI WA KIJIJI CHA WENDA ALIVYOCHUNWA NGOZI Hivi ndivyo  mkazi  wa Wenda  alivyochunwa  ngozi na  watu  wasiojulikana (Tunaomba Radhi kwa  picha hizi ) Hii  ndio  nyumba  ulimokutwa mwili  wa  mkazi huyo eneo la  tukio Baada ya siku mbili mtandao huu kuripoti tukio la kusikitisha kilichohusisha mauaji ya kinyama ya dereva wa bodaboda sadiki mbelwa (26) katika kijiji cha wenda, Tanangozi Iringa ambapo mwili wa marehemu ulikutwa ukiwa na majeraha sehemu za kichwani huku ikisadikiwa kupigwa...
MADAM RUTI ALIA NA MAKANISA Mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Madamu Ruti Mwamfupe amedai kulizwa na makanisa yanayoshindwa kuwasaidia watu wenye uhitaji kama wagonjwa waliolazwa hospitalini. Akizungumza  Dar es salaam jana, Madamu Ruti alisema hospitalini kuna baadhi ya watu ambao hawana fedha za kununua hata chakula, wakati watumishi wa Mungu wanakula na kusaza.'' Hata vitabu vitakatifu vinasema; dini iliyosafi isiyo taka mbele za Mungu Baba ni hii, kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao ya kujilinda na dunia,'' alisema Madamu. Mwimbaji huyo alisema, endapo...
ASKOFU MWASOTA AVUNJA UKIMYA TUHUMA ZA KUNASWA NA KUNDI LA FREEMASON Askofu David Mwasota, katibu wa baraza la makanisa ya kipentekoste nchini CPCT.                           Hatimaye Katibu Mkuu wa Baraza la makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) Askofu David Mwasota, amevunja ukimya wa tuhuma zilizosambazwa sehemu mbali mbali zikieleza kuwa amenaswa na kundi la siri la waabudu shetani Freemasons. Akiongea na chanzo cha habari cha blogger kwa uchungu, Askofu Mwasota alisema: “Ndugu yangu naona haya ni...
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO Mtuhumiwa alijifunika kwa kofia akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi Gari lililomleta mtuhumiwa Siku ambayo Daudi Mwangosi alipouwawa kwa bomu katika kijiji cha Nyololo Mufindi Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten Daud Mwangosi leo amefikishwa mahakamani.mwandishi maalum wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kutoka Iringa anaripoti kuwa ,Mtuhumiwa huyo amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi ya Wilaya kujibu shitaka lilalomkabili.Kwa ...
MASHABIKI WA PASTOR BENJAMIN DUBE WAACHWA NA SIMANZI NCHINI SWAZILAND Pastor Benjamin Dube akimsifu Mungu katika moja ya recording zake.                               Mashabiki wa mwimbaji nguli wa muziki wa gospel pastor Benjamin Dube nchini Swaziland wamefikwa na huzuni baada ya onyesho lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa trade fair hii leo kuahirishwa kutokana na wahusika waliotaka kumkaribisha mwimbaji huyo kushindwa kutimiza mahitaji hali iliyomfanya mwimbaji huyo kuwaomba radhi mashabiki...

SIKU TANO ZA KUFUNGULIWA WAKAZI WA TANANGOZI NA VITONGOJI VYAKE

SIKU TANO ZA KUFUNGULIWA WAKAZI WA TANANGOZI NA VITONGOJI VYAKE
mhubiri friday kutoka mbeya akihubiri katika mkutano huo baba onekana kwa watu wakoo sasaaaaaaaaaaa Mtumishi wa mungu friday pamoja namwimbaji christopher mwahagila kutoka dar esalam naja sanga mwimbaji kutoka mafinga akionesha utundu wake kwa yesu mwimbaji jembe la yesu pamoja na elibariki shukia kutoka iringa afisa mtendaji wa tanangozi nayepia wakati akiwasalimia wanaichi wa tanangozi baadhi ya umati wa watu waliofika kwenye mkutano huo kwa yesu raha eheeeeeeeee washamba wanaomkataa yesuuuuuu mtumishi wa mungu denis nyali pia naye alikuwepo jembe...
KWA TAARIFA YAKO--LIFAHAMU KANISA JIJINI DAR LENYE WAIMBAJI WENGI MAARUFU Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu cha ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi kutukia lakini yawezekana huijui pia yawezekana ilitukia ukawa unaijua lakini GK ikawa imesahau mahali au kuna sehemu haina usahihi utapata fursa ya kusahihisha kwa kuweka comment yako chini kabisa kwenye habari husika. Karibu KWA TAARIFA YAKO alhamisi ya leo ni kwamba kama tunavyojua kuna makanisa mengi nchini yamejaaliwa...
KONGAMANO KUBWA LA WAMAMA NA MABINTI DAR, TAREHE 8,9/9/2012. MGENI RASMI NI MKE WA WAZIRI MKUU, TUNU PINDA. ...
MAMA MZAZI WA MAREHEMU FANUEL SEDEKIA AFARIKI DUNIA Marehemu Fanuel Sedekia. Ikiwa takribani miaka minne tangu kufariki kwa mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa injili nchini Fanuel Sedekia huko nchini Israeli alikokwenda na msafara wa mwalimu Christopher Mwakasege kwa ajili ya kutembelea maeneo matakatifu naye mama yake mzazi Eunice Sedekia amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mount Meru jijini Arusha alikokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa ambazo GK imezipata ni kwamba mama huyo amefariki dunia usiku wa saa tatu hospitalini hapo, ambapo msiba na mipango...
DAUD MWANGOSI SIKU MOJA KABLA YA KIFO CHAKEkatibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard (Kulia) akifungua mkutano mkuu wa IPC jana katika ukumbi wa Maktaba ya Iringa katikati ni Daud Mwangosi ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa IPC akifikiri jamboAliyekuwa mwenyekiti wa IPC Daud Mwangosi (kushoto) akihojiwa na mzee wa matukio daima ambaye ni katibu msaidizi wa IPC juu ya wanahabari kudumisha umoja na mshikamanoPicha na habari zaidi utaendelea kuzipata hapaHapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo MufindiMwili wa mwanahabari...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog