Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba Bukoba, Ismail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FCdhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0.
Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani
Posted by Unknown
Posted on 5:57 AM
with No comments
Kurasa za Magazeti ya leo; December 5, 2016
Posted by Unknown
Posted on 5:53 AM
with No comments
Leo December 5 2016 pitia habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea.