MBUNGE
wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika
Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo,
ameomba kuchangia akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo.
Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi mkono vitendo viovu japo alikataliwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Zungu.